UHALISIA USIO SAHIHI...... si imani ya mwana OBAN - hamasisha

Sunday, June 2, 2019

UHALISIA USIO SAHIHI...... si imani ya mwana OBAN



Je OBAN Ni nini?..
Kwa urefu ni ORG BUSINESS ASSOCIATION NETWORK . Mtandao kwaajili ya wajasiriamali wadogo zaidi hasa wale wa nyumba kwa nyumba, Maofisini, na pengine
Kwa maelezo BOFYA HAPA

IMANI YA MWANAOBAN.
Ni kuongeza kipato,  kufanikiwa katika malengo alioazimia. Kujikwamua kiuchumi si kazi rahisi.... kuwa na uhuru wa kifedha katika maisha si jambo jepesi kwa wale tunaoishi chini ya bujeti ya dollar. Unatafuta ajiri, unatafuta mtaji bila mafanikio jiunge na OBAN

MWANAOBAN halisi anauhuru wa kufanya biashara popote chini ya jua kwa huohuo mtaji mdogo au bila mtaji

Jiunge Leo kwa shilingi 3000

waambie marafiki zako wajiunge kwa kiasi hicho hicho atakuchangia mtaji

Nunua bidhaa za oban . Uza ....

Ni rahisi na halisi...... ukuta hauvunjwi kwa maneno . JIPANGE NA OBAN

No comments:

Post a Comment