Je baada ya miaka 6 utakuwa wapi?
Mh John Pombe Magufuli ametoa fursa kwa wajasiriamali wadogo wadogo nchi nzima kufanya biashara kokote bila bugdha.
Mda mwengine hauitaji mpiga lamli , msoma nyota au msafisha nyota lahasha , yampasa kila mwanamaendeleo kusoma alama za nyakati.
Mfano : biashara zinazotoka au kuuzika kwa haraka ni biashara ndogo ndogo . Kuuza vitafunwa, sabuni, mafuta na mengineyo.
Je wewe jicho lako linaona nini?
Huenda ukajipa moyo labda awamu hii ikiisha kutakuwa haueni , hapana. Utakumbana na hasara ya mda pamoja na msongo wa majukumu.
Anza Leo na OBAN
Kwa mtaji kidogo sana au bila mtaji kuwa mfanyabiashara huru.
BOFYA KWA MAELEZO ZAIDI
No comments:
Post a Comment