Karne ya wachakarikaji mtu anatafuta tafuta njia ya kufikia ndoto zake.
Kwa maisha halisi ya kijana mpaka uzee huwa na vikwazo napo ni budi kupitia. Shida ni kwamba katika kuanza safari ya Kutimiza ndoto hatuangalii au kuota makwazo gani hutokea katika kupinga kukamilika kwa ndoto zetu
Ujasiriamali umekuwa chaguo pekee Kutimiza ndoto iwe katika technologia, kilimo , mazingira , afya, na mengineyo.
Kikwazo kikubwa ni MTAJI
PESA .......
ORG BUSINESS ASSOCIATION NETWORK TANZANIA (OBAN )
Mtandao wa Kitanzania kwaajili ya kumuwezesha mtanzania asie na mtaji au mtaji kidogo sana kujikwamua katika adhaa ya umasikini...
Je Wewe ni mama wa nyumbani?
Au Kijana usie na ajira?
Mfanyakazi mwenye mshahala mdogo?
Mstaafu?
Karibu tupambane kwa kujiunga nasi leo
INUA UCHUMI LINDA TAIFA LA KESHO
No comments:
Post a Comment