Karibu katika mafunzo ya ujasiriamali angwe ya kwanza iliyoandaliwa na ORG BUSINESS ASSOCIATION NETWORK (OBAN). Wanakuletea mafunzo haya yakiongozwa na mkufunzi makini GAWAZA BRAIN.
Ada ya mafunzo ni 5000/= tu
Jinsi ya kutengeneza
- Sabuni ya unga
- Sabuni ya kuoshea nywele
- Sabuni ya choo
- Sabuni ya mikono
Baada ya kujifunza hayo tutapata somo dogo la namna ya kupata mtaji na masoko kiujumla.
PIGA : 0738614629
WHATSAPP : 0752276548
KARIBU UJIUNGE NA GROUP LA WHATSAPP
No comments:
Post a Comment