Biashara ya kupika na kuuza chapati ni fursa kubwa kwa wanawake haswa Dar es salaam, kutokana na upatikanaji wake wa haraka kwaajili ya kufungua kinywa kimetokea kuwa kitafunwa kinachopendwa na watu wengi. Kwa tathmini za kawaida biashara hii imesomesha watoto na kusukuma maisha ya mwanamke wa kitanzania.
Ukitaka kufanya biashara ya chapati unatakiwa uwe na,
- Unga wa ngano
- Mafuta
- Chumvu
- pan
- Jiko
Nk: Unga wa ngano kilo moja unatoa chapati 15 - 18.
Mambo ya muhimu ya kuzingatia ukitaka kufungua biashara hii ya kuuza chapati
vizuri
ReplyDelete