SHULE ZILIZOONGOZA NA ZILIZOSHIKA MWISHO KITAIFA - hamasisha

Tuesday, January 30, 2018

SHULE ZILIZOONGOZA NA ZILIZOSHIKA MWISHO KITAIFA

shule zilizoongoza kwenye ufaulu wa matokeo ya mtihani wa kidato cha nne 2017/2018
Jumla ya watahiniwa ni 287,713 Sawa na asilimia 77.09% ya waliofauli ambapo 143,728 ni wasichana (asilimia 75.21 % ya wasichana wote) na 143,885  ni wavulana (asilimia 79.09% ya wavulana wote)

SHULE 10  BORA KITAIFA.

St. Francis Girls ya Mbeya
Feza Boys ya Dar es salaam
Kemebos ya Kagera
Bethel Sabs Girls ya Iringa
Anwarite Girls ya Kilimanjaro
Marian Girls Pwani
Canossa ya Dar es salaam
Feza Girls ya Dar es salaam
Marian Boys ya Pwani
Shamsiye Boys ya Dar es salaam

SHULE ZA MWISHO KITAIFA

Mtule ya Kusini Unguja
Nyeburu ya Dar es salaam
Chokocho ya Kusini Pemba
Kabugaro ya Kagera
Mbesa ya Ruvuma
Furaha ya Dar es salaam
Langoni ya Mjini Magharibi
Mwenge S.M.Z ya Mjini Magharibi
Pwani Mchangani ya Kaskazini Unguja
Kusini ya Kusini Unguja

No comments:

Post a Comment