SALAMU ZA RAMBIRAMBI KUTOKA KWA WANAHAMASISHA - hamasisha

Sunday, May 7, 2017

SALAMU ZA RAMBIRAMBI KUTOKA KWA WANAHAMASISHA

Wanahamasisha tunatoa salamu za rambirambi kutoka kwenye vilindi vya mioyo yetu kwa familia zilizopatwa na msiba wanafunzi,waalimu na dereva uliotokea mkoani Arusha, wakiwa wanaelekea katika ziara ya kimasomo kutoka shule ya lucky vincent  mkoani humo. Inchi nzima imepatwa na simazi kutokana huu msiba wa ghafla ,kwakweri tumepoteza wajenzi wa taifa, na pia tunamuomba mwenyezi Mungu awape moyo wa uvumilivu katika huzuni hii kwa ndugu jamaa na marafiki pamoja na nzima,bwana ametoa bwana ametwaa, Mungu azilaze roho za marehemu mahali pema peponi.

No comments:

Post a Comment